Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Sunday, October 28, 2012

hivi wajua kuwa kanye na kim ni wapenzi? sasa UNAPASWA KUJUA NA HILI JAMBO PIA.


Kim Kardashian anadaiwa kuwa kwenye mipango ya kufanya harusi ya kifahari na Kanye West itakayogharimu dola milioni 20.
Nyota huyo wa reality TV show, ambaye amekuwa na uhusiano na Kanye kwa miezi nane sasa na hivi karibuni kurejea toka kwenye mapumziko ya Rome hadi Venice kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, anadaiwa kutaka kuvaa shela yenye gharama ya dola milioni 8 muda mfupi akipata taraka yake kutoka kwa mume wake wa zamani Kris Humphrie.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la OK! Kuwa Kim ameshaanza kuwasiliana na waandaji wa shughuli za harusi.

0 comments:

Post a Comment