Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Sunday, September 29, 2013

RAY C AVUTA JAGUAR....

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ameuanika ‘mkoko’(gari) wake ambao anatembelea kwa sasa aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family.
Fungua na uutazame mkoko mpya...

MASOGANGE ATANGAZA NDOA......


MCHUMBA wa ‘video queen’ maarufu Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange ‘, Evance Komu amefungua kinywa chake na kusema; siku mchumba wake huyo atakapotia miguu nchini, wanafunga ndoa.
Masogange kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini alikokuwa akikabiliwa na kesi ya madawa ya kulevya ambapo alifanikiwa kuwa huru baada ya kulipia faini ya randi 30,000 (shilingi 4,800,000) aliyoamriwa na Mahakama ya Kempton...Akizungumza hivi karibuni mara baada ya Masogange kuachiwa, Evance alisema anamshukuru Mungu kwa kesi hiyo kumalizika na kinachofuata kwenye uchumba wao ni ndoa tu.
Evance aliweka bayana kuwa kinachomsukuma afanye uamuzi huo kwa sasa ni kutokana na jinsi alivyoguswa na changamoto kubwa alizopitia mchumba wake hivyo ameona kuna kila sababu ya kumuoa kabisa ili apate faraja ya milele.
“Mchumba wangu amepitia majaribu ya kutosha na mimi sioni muda wa kupoteza tena, akitua tu Bongo kinachofuata ni ndoa nina imani itakuwa ndiyo jambo kubwa la kumfariji na kumpa upendo wa hali ya juu,” alisema Evance pasipo kutaja siku ambayo mchumba wake atarejea.
Katika kesi hiyo iliyokuwa ikimkabili Masogange, alishikiliwa na mwenzake Melisa Edward ambaye naye aliachiwa huru kwa kukosekana na hatia.

LULU KUELEZEA MENGI KWENYE MKASI...

Wiki Iliyopita New Season ya Mkasi Ilimkaribisha msanii wa Filamu Lulu Michael kwenye kipindi cha mkasi. Hii ni baada ya kutoka Jela alipotolewa kwa dhamana. Kaa tayari kwa vipindi vya Mkasi Vinavyofata kujua Lulu aliongelea nini? Je Safari hii atatudanganya MIAKA????

Sunday, May 5, 2013

HAPPY 24TH BIRTHDAY CHRIS BROWN! Breezy CELEBRATES Vegas Style With Fabolous & NFL Baller Adrian Peterson

 photo wenn20319025.jpg
After partying in L.A. Friday night to kick off his b-day weekend, Chris Brown headed to Las Vegas Saturday where he celebrated his 24th birthday.  Find out who he partied with inside.......

Lil Wayne, Birdman, Future & Nicki Minaj "TAPOUT" With Christina Milian, Paris Hilton & Kimora Lee Simmons


 photo ScreenShot2013-05-05at94631AM_zps972be3cd.png
Rich Gang--composed of YMCMB all stars Lil Wayne, Birdman, Nicki Minaj, Mack Maine, plus their homie Future--just dropped their brand new video for "Tapout".  And the fellas and YM's leading lady tapped YM artist Christina Milian and Paris Hilton to star as waitresses turned thieves.  Plus, there's a cameo by Kimora Lee Simmons..
Check it inside...........

RUGE KUJIBU MAPIGO LADY JAY DEE......

Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa mbili asubuhi Ruge Ataongelea issue ya Jay Dee ,Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na........ Ruge Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.

DIAMOND AMTUMIA PENNY ZAWADI YA MANENO KWENYE BIRTHDAY


Pengine  utundu  wa Diamond  ndo  kitu  pekee kinachowafanya  akina  dada  wamgombanie..Leo ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu.......
   V “Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,”

“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”ameandika Diamond

Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.


 Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny amejibu:


“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”

WOSIA WA DIAMOND KWA FANS ZAKE


Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu...Mwingi wa
rehema zake kwangu na kwako ambae huu
mzima muda na wakati kama huu...!!

Si kama tu wenye haki sana au wema sana kuwepo
salama muda na sahii lakini kwa upendo
na baraka zake kwetu...

Monday, April 15, 2013

HILDA NDEMA: NTAKUVULIA DIAMOND CHUPI BILA HOFU

 Katika  hali  ya  kushangaza, binti  mmoja  maarufu  kwa  jina  la  Hilda  amejitokeza   hadharani  kupitia  facebook  yake  na  kudai  kuwa  yupo  tayari  kugawa  penzi  kwa  diamond  hata  bure  ili  naye  ajionee  kinacho wafanya  wanawake  wenzie  wamgombanie..

Iggy Azalea SHUTS DOWN Rumors Of A Kanye West AFFAIR, SPEAKS ON Feeling OBJECTIFIED By Men


 photo ScreenShot2013-04-12at45727PM.png
Australian rapper Iggy Azalea is shooting down rumors about an alleged affair with Kanye West and opening up about feeling objectified by the music industry.  See what she says inside...

MUONEKANO MPYA WA LULU

 

 elizabeth-michael-lulu-0 elizabeth-michael-lulu-1

MSIBA MZITO WA JUMBE JUU YA WEMA SEPETU


Mpenzi wa Wema wa zamani Yussuph Jumbe Aonesha Masikitiko yake kwa Ugomvi wa Wema na Mama yake Nakuandika Haya hapa Chini kwenye Facebook page yake:

BONGO MOVIE: YUSUPH MLELA AMPA MIMBA MWANAFUNZI NA.......


STAA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kumtundika mimba mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Salha, mkazi wa Zanzibar ambaye anasoma katika chuo cha ITF, Tandika, jijini Dar.

Kwa mujibu wa chanzo kimoja  kilichopo chuoni hapo, Mlela alidaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na denti huyo kwa muda mrefu ambapo mashosti wote wa Salha, walikuwa wakimtambua kama shemeji yao hadi alipodaiwa kumpa kibendi.
.......

Saturday, April 6, 2013

WATANZANIA KUSHOBOKA NA WAZUNGU!!!!!

My ass was hanging out a lil' too much ikabidi niweke blur....lol

For more photos........

Wesley Snipes RELEASED From PRISON + Trayvon Martin's Parent SETTLE Wrongful Suit For $1 Million

 photo 1336381705.jpg
Actor Wesley Snipes has been released from prison after serving nearly two-years for tax evasion.  Find out about his release inside and get information about Trayvon Martin's parents ending their wrongful death suit.

Mr. Nino Brown aka Wesley Snipes was released from the McKean Federal Correctional Institution in Pennsylvania this week, where he served nearly two-years for...

Thursday, April 4, 2013

SHOW YA BOB JUNIOR AKIWA DENMARK

Kama namuona Bob vile full kubembeleza na Nichum...…

MUONEKANO MPYA WA NAY WA MITEGO

GROWN AND SEXY ILIKUA HIVI - PENDEZA SANAA



NICE PHOTO

CUE GIRLS -MAUA YALIPAMBA BUSTANI

Chinese surveillance ships to monitor maritime traffic safety during Boao Forum

CHINA-HAINAN-MARINE SURVEILLANCE-BFA (CN)
A ceremony is held by the Hainan Maritime Safety Administration on the patrol vessel "Haixun 21" in Haikou, capital of south China's Hainan Province, April 3, 2013. A fleet of five marine surveillance ships will monitor maritime traffic safety, investigate maritime accidents, detect pollution, and carry out other missions around the clock during the Boao Forum for Asia Annual Conference 2013 in Hainan. (Xinhua/Zhao Yingquan)

Floods kill dozens in Argentina

At least 52 people have been killed in flash floods caused by heavy rains in the province of Buenos Aires, Argentina. The storm hit both the capital, Buenos Aires, and the city of La Plata. Argentine President Cristina Fernandez has visited the area to talk with some of the victims.
Deadly flash floods have left the people of Buenos Aries Province treading water.
Flood victim Natalia Lescano said

Afrika Kusini kuondoa wanajeshi 'CAR'

 
Rais Zuma amesema wanajeshi wake wataondoka Afrika Kusini baada ya serikali kupinduliwa
Afrika Kusini, inasema kuwa itawaondoa wanajeshi wake kutoka Jamuhuri ya Afrika ya Kati, baada ya waasi kupindua serikali zaidi ya wiki moja iliyopita.
Rais Jacob Zuma amesema kuwa mkataba kati ya nchi hizo mbili umetupiliwa mbali baada ya kung'olewa kwa

Tisho la Korea Kaskazini kwa Marekani

Jeshi la Marekani likiajiandaa kwa mashambulizi kutoka kwa Korea Kaskazini
Marekani imepeleka mitambo ya kukinga makombora katika kisiwa cha Guam katika bahari ya Pacific huku Korea Kaskazini ikitishia kurusha makombora ya nuklia nchini humo.
Idara ya ulinzi ya nchi hiyo imesema kuwa mitambo hiyo itakuwa tayari katika kipindi cha wiki kadhaa , na kuongeza kwa zana za kivita ambazo zilipelekwa katika eneo hilo.
Korea Kaskazini ilitaja kisiwa cha

North Korea 'moves mid-range missile'


North Korea has shifted a missile with "considerable range" to its east coast, South Korea's foreign minister says.
Kim Kwan-jin played down concerns that the missile could target the US mainland, and said the North's intentions were not yet clear.
Pyongyang earlier renewed threats of a nuclear strike against the US, though its missiles are not believed to be capable of carrying nuclear warheads.
The US is responding to North Korea by moving missile defence shields to Guam.
Meanwhile, Russia said Pyongyang's attempts to "violate decisions of the UN Security Council are categorically unacceptable

RAY ASALIMU AMRI JUU YA FILAMU YAKE INAYO SHUTUMIWA KUUDHALILISHA UKATOLIKI ...


Cover la filamu hiyo ya Sister Marry.
HATIMA ya filamu ya mwigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’, Sister Mary iliyokuwa imezuiwa kwa kudaiwa kudhalilisha ukatoliki, imefahamika kuwa mwigizaji huyo amesalimu amri ya viongozi wa kanisa hilo.Kanisa Katoliki nchini linaloongozwa na

RIHANA NA BEYONCE WAANZA KUTISHIKA KWENYE GAME LA MUZIKI



Kutokana na msanii Ne -Yo kutoa maoni yake makali juu ya baadhi ya wasanii wanaoimba kwa kutumia CD maswali mengi yameibuka juu ya...

MASTAA WA AFRIKA KUTUA BONGO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA MAREHEMU KANUMBA




Marehemu Steven Kanumba enzi za uhai wake
FILAMU ya mwisho kuigizwa na Steven Kanumba �Kanumba The Great� iliyopewa jina la Love And Power itazinduliwa kwa aina yake baada ya

Monday, March 25, 2013

MUSIC FAB: Tyga's “F*ck For The Road” Ft. Chris Brown + 50 Cent's "We Up" Video Ft. Kendrick Lamar + Young Jeezy's "R.I.P.


 photo Tyga-Chris-Brown.jpg
Rapper Tyga has released a new track with his friend Chris Brown. Listen to “F*ck For The Road".   We've also got 50 Cent's new video "We Up" featuring Kendrick Lamar plus Young Jeezy's keeping it trap for his "R.I.P." video eaturing 2 Chainz....

WEMA SEPETU AMNUSURU KAJALA KWA KUTOA MILIONI 13

Wema Sepetu amekimbilia Benki baada ya mahakama kutoa hukumu mapema leo hii juu ya kesi ya Kajala na hukumu yake kutajwa kwenda jela miaka

CHIDDI BEENZ AONGELEA UGOMVI WAKE NA NGWAIR

Baada ya kutokea ugomvi baina ya mastaa wawili wa muziki Tanzania Chiddi Beenz na Albert Mangwair, mapema leo Chiddi amefunguka

Sunday, February 17, 2013

Saturday, January 19, 2013

MAMILIONI YA WAUMINI WA DINI YA HINDU WAJISAFISHA DHAMBI


Hindu
Mamilioni ya waumini wa dini ya hindu wakiingia kwenye mto wanaouita mtakatifu wa Ganges wenye maji ya baridi, kwa kile wanachoamini kunawasafisha madhambi yao
Whip my hair: The holy men presented an arresting sight at the first day of the festival
tayari watu zaidi ya milioni tatu washaingia katika mto huo kwa jana asubuhi na huku wakitegemea kufika watu million 11 kuingia kwenye mto huo kufikia jana jioni,  kwa ushahidi wa afisa mkuu wa maadhimisho hayo, Mani Prasad Mishra
Procession: A child adorned with marigolds is carried by sadhus on the way to the Sangam
Dawn: A devotee is up at the break of day to pay his respects to the gods in Allahabad
ALLAHABAD
Hindus
Long journey: A foreign devotee joins other pilgrims in prayer at a festival which will go on for over a month
Siku ya jana inachukuliwa kuwa ni siku yenye kheri sana kutokana na kuwa ni siku ya maadhimisho ya siki 55 yajulikanayo kama Kumbh Mela
Contemplation: An Sadhu closes his eyes as he prays while bathing in the confluence of the Yamuna and Ganges rivers
Taking the waters: Thousands of holy men return to camp after taking a dip in the river
Hindu devotees
Hindu holy me
India
Gathering: Millions of pilgrims gather in the early morning light to show their devotion on the first day of the Maha Kumbh Mela
Sights and sounds: A Sadhu blows a conch shell as other Sadhus or Hindu holy men bathe
Crowd: More than 110million people are expected to make their way to the city for the 55-day festival
Mystical: The festival commemorates a famous incident from Hindu mythology
Waumini hao wanaamini kuwa kuoga kwenye mto huo ni kujisafisha madhambi na ku
Kumbh Mela
Polisi wakipiga doria

Mamilioni ya waumini wa dini ya hindu wakiingia kwenye mto wanaouita ni mtakatifu wa Ganges illions of Hindus followed naked holy men into the cold waters of the Ganges today as part of the world's largest gathering of people.
The ceremony in the Indian city of Allahabad came on the most auspicious day of the Maha Kumbh Mela, a 55-day religious festival which is expected to attract well over 100million bathing pilgrims.
A top festival official said nearly 3million people had bathed by late morning and 11million were expected to enter the frigid water by the end of Monday