Afrika Kusini, inasema kuwa
itawaondoa wanajeshi wake kutoka Jamuhuri ya Afrika ya Kati, baada ya
waasi kupindua serikali zaidi ya wiki moja iliyopita.
Rais Jacob Zuma amesema kuwa mkataba kati ya nchi hizo mbili umetupiliwa mbali baada ya kung'olewa kwaMonday, April 15, 2013
Iggy Azalea SHUTS DOWN Rumors Of A Kanye West AFFAIR, SPEAKS ON Feeling OBJECTIFIED By Men
BONGO MOVIE: YUSUPH MLELA AMPA MIMBA MWANAFUNZI NA.......
STAA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kumtundika mimba mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Salha, mkazi wa Zanzibar ambaye anasoma katika chuo cha ITF, Tandika, jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja kilichopo chuoni hapo, Mlela alidaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na denti huyo kwa muda mrefu ambapo mashosti wote wa Salha, walikuwa wakimtambua kama shemeji yao hadi alipodaiwa kumpa kibendi........
Saturday, April 6, 2013
Wesley Snipes RELEASED From PRISON + Trayvon Martin's Parent SETTLE Wrongful Suit For $1 Million
Mr. Nino Brown aka Wesley Snipes was released from the McKean Federal Correctional Institution in Pennsylvania this week, where he served nearly two-years for...
Thursday, April 4, 2013
GROWN AND SEXY ILIKUA HIVI - PENDEZA SANAA
NICE PHOTO
CUE GIRLS -MAUA YALIPAMBA BUSTANI
Chinese surveillance ships to monitor maritime traffic safety during Boao Forum
Floods kill dozens in Argentina
At least 52 people have been killed in flash floods caused by
heavy rains in the province of Buenos Aires, Argentina. The storm hit
both the capital, Buenos Aires, and the city of La Plata. Argentine
President Cristina Fernandez has visited the area to talk with some of
the victims.
Deadly flash floods have left the people of Buenos Aries Province treading water.
Flood victim Natalia Lescano said
Deadly flash floods have left the people of Buenos Aries Province treading water.
Flood victim Natalia Lescano said
Tisho la Korea Kaskazini kwa Marekani
Marekani imepeleka mitambo ya
kukinga makombora katika kisiwa cha Guam katika bahari ya Pacific huku
Korea Kaskazini ikitishia kurusha makombora ya nuklia nchini humo.
Idara ya ulinzi ya nchi hiyo imesema kuwa
mitambo hiyo itakuwa tayari katika kipindi cha wiki kadhaa , na kuongeza
kwa zana za kivita ambazo zilipelekwa katika eneo hilo.Korea Kaskazini ilitaja kisiwa cha
North Korea 'moves mid-range missile'
North Korea has shifted a missile with "considerable range" to its east coast, South Korea's foreign minister says.
Kim Kwan-jin played down concerns that the missile could
target the US mainland, and said the North's intentions were not yet
clear.Pyongyang earlier renewed threats of a nuclear strike against the US, though its missiles are not believed to be capable of carrying nuclear warheads.
The US is responding to North Korea by moving missile defence shields to Guam.
Meanwhile, Russia said Pyongyang's attempts to "violate decisions of the UN Security Council are categorically unacceptable
MASTAA WA AFRIKA KUTUA BONGO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA MAREHEMU KANUMBA
Marehemu Steven Kanumba enzi za uhai wake
FILAMU ya mwisho kuigizwa na Steven Kanumba �Kanumba The Great� iliyopewa jina la Love And Power itazinduliwa kwa aina yake baada ya
Subscribe to:
Posts (Atom)