Wasanii wa kizazi kipya hapa nchini maarufu kama Pah one baada ya
kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa mashabiki wao kuhusiana na kazi zao
za muziki,sasa leo wameamua kufunguka na kusema kwamba mwakani kila
mmoja ataanza rasmi kuandaa album mpya na sababu iliyowafanya mpaka
kufanya hivi ni mashabiki kwa mujibu wa Nahreel anasema kwamba wameamua
mwakani kila mmoja atakuwa akifanya ngoma au album lakini kuhusu Pah
one itabaki kuwa pale pale na sio kama ndiyo imekufa ila watapumzika
kwa muda mfupi kwa ajili ya kila mmoja akiandaa single mpya kwa
mashabiki zao.Info kamili by Nahreel.
Wednesday, December 26, 2012
WEUSI ON THE STAGE AT MAISHA CLUB
Wasanii wa muziki wa Hip Hop kutoka A Town city maarufu kama Weusi,baada ya kufanya vizuri katika ngoma zao na mpaka kupeleka mashabiki kukubali kazi zao,sasa jana katika club ya maisha walikuwa wakitoa burudani kali zaidi huku walisindikizwa na Enika pamoja na Ben Pol.
Nikki wa Pili
Mashabiki
Nikki wa Pili na Lord Eyez
Mzee wa maktaba Bonta
G Nako na Lord Eyez
Joh Makini na G Nako
Millard Ayo na Marafiki
Ben Pol
Dunga na Enika
Weusi!!!!!!!!
Nikki wa Pili
Mashabiki
Nikki wa Pili na Lord Eyez
Mzee wa maktaba Bonta
G Nako na Lord Eyez
Joh Makini na G Nako
Millard Ayo na Marafiki
Ben Pol
Dunga na Enika
Weusi!!!!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)