STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray
C’ameuanika ‘mkoko’(gari) wake ambao anatembelea kwa sasa aina ya
Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni
zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't
care...CHL means Chalamila Family.
Fungua na uutazame mkoko mpya...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment