Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Thursday, February 27, 2014

+DIAMOND AWACHANA WASANII WANAO TAKA KUKUZA MAJINA KUPITIA MGONGO WAKE

Diamond Platnamz ameamua kutoa yake ya moyoni baada ya kumshida kuyavumilia.Kutokana na maelezo yake aliyoyaandika kupitia ukurasa wake wa Instagram, inaoneka amekerwa na tabia ya wasanii wenzake kumsema vibaya na kutengenezea ugomvi wa kilazima pasipokuwa na sababu, wakati yeye anahangaika na mziki wake kivyake...



"kiukweli, nasikitishwa sana jins baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine 


wakizusha eti Nimewatusi kwenye Media, Mara sjui Nimepost kuwakashif, yaani 

ilimradi tu....kwanini Wanamuziki wa Tanzania Tunashindwa kubadilika... mbona mi nahangaika na muziki wangu kimpango wangu... Mnasema nyie ndio mnaojua kuimba 

mie sijui "sinatatizo"... Mnasema nyie ndio wenye sauti nzuri yangu mbaya "Sina tatizo"... sasa mbona tena bado mnanifatilia na kutokujua kwangu... Nafkiri ni vyema 
mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini, kuliko kupika majungu..... Watu wanataka kazi!"

0 comments:

Post a Comment