Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Sunday, October 28, 2012

diamond akana kua najma sio demu wake sasa


Najma na Diamond.Kumekuwepo na tetesi za chini kwa chini kuwa Diamond na aliyewahi kuwa mpenzi wa Mr Blue, Najma ni wapenzi.Tetesi hizo zilipamba moto baada ya kuonekana kwa picha za birthday za Diamond ambapo Najma alikuwa miongoni mwa waalikwa.

Hata hivyo kwa mujibu wa meneja wa Najma ambaye kwa muda mrefu alikuwa nchini Uingereza kimasomo, mastaa hao wako karibu kikazi zaidi tu na hakuna kingine.“Mimi niliamua Najma afanye nyimbo na Diamond nikamuomba Diamod,Diamond akakubali kwahiyo tuna project na Diamond all time tunakuwa na Diamond kwasababu ni project ambayo tunataka kufanya nae, lakini this time as a friend lakini si kama wapenzi,” Meneja wa Najma aitwaye Nasra ameimbiwa Power Jams ya EA Radio.

0 comments:

Post a Comment