Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Monday, March 25, 2013

WEMA SEPETU AMNUSURU KAJALA KWA KUTOA MILIONI 13

Wema Sepetu amekimbilia Benki baada ya mahakama kutoa hukumu mapema leo hii juu ya kesi ya Kajala na hukumu yake kutajwa kwenda jela miaka 5 au kulipa faini ya Milioni 13. Wema amejitolea kuamua kumsaidia Kajala ili aweze kutoka. Habari zaidi utazidi kuzipata hapa kama atafanikiwa kutoa pesa na kulipa leo leo.

0 comments:

Post a Comment