Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Monday, March 25, 2013

CHIDDI BEENZ AONGELEA UGOMVI WAKE NA NGWAIR

Baada ya kutokea ugomvi baina ya mastaa wawili wa muziki Tanzania Chiddi Beenz na Albert Mangwair, mapema leo Chiddi amefunguka kupitia kurasa yake ya Facebook na kusema hivi,
"Kuhusu swala la Ugomvi kati ya mimi na Mangwea naomba lisikuzwe ikaonekana ni sababu najua wabaya wangu watavyoweza kulikuza hili.hatuna Ubaya na ngwea na ni boonge la mshkaji..tusameheane haya Maisha tunatafuta.Peace..no lie"

0 comments:

Post a Comment