Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Sunday, May 5, 2013

WOSIA WA DIAMOND KWA FANS ZAKE


Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu...Mwingi wa
rehema zake kwangu na kwako ambae huu
mzima muda na wakati kama huu...!!

Si kama tu wenye haki sana au wema sana kuwepo
salama muda na sahii lakini kwa upendo
na baraka zake kwetu...

 
Ni mema mengi amenifanyia na kuniongoza
 kwenye mengi ya walimwengu,lakini amekuwa
akinijenga sana....!!Kweli yatupasa kumshukuru
 kwa kila jambo!

Napenda kuwatakia siku njema na Ijumaa
Njema watu wangu wa Nguvu......Tusihau kufanya
 Ibada na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo....
Kwa Kuwa Mungu akiamua kukubariki
mwanadamu hawezi zuia cha msingi
 usikate tamaa....
Na hata wale walio kwenye wakati mgumu....
mwenyezi mungu awape wepesi wa kila kitu
katika jambo na matamanio ya moyo wako...!!
 Upendo utawale ndani yenu,Kufanya kazi
 kwa bidii ndio nguzo muhimu...Kidogo upatacho
shukuru mungu,saidia wasiojiweza kwa kuwa mungu
 kakujaalia wewe kupata basi nawe uwe mwepesi
 wa kutoa,kwa kuwa leo kwako kesho
kwake....!! NAWAPENDA SANA.....!

0 comments:

Post a Comment