Pages

Search This Blog

Powered by Blogger.

Sunday, October 28, 2012

shilole na barnaba wanarudiana eti..



KUNA tetesi kuwa, penzi lililokuwa limekufa kati ya mwigizaji wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Mbongo Fleva, Elias Barnaba limerejea kwa ari, nguvu na kasi mpya.

“Hivi karibuni wawili hao walionekana chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale Leaders Club, walikuwa ‘veri klozi’ nyuma ya jukwaa katika gari la Shilole,” alisema mpashaji wetu.

SHOPPING YA WEMA SEPETU KUFURU



Mrembo huyo alinaswa hivi karibuni akifanya manunuzi ya nguo tu, zenye thamani ya Sh. milioni 4.3 katika duka la Amina Designer lililopo ndani ya Jengo la Quality Centre jijini Dar.
“Ni utamaduni wa kawaida kwangu kufanya shopping mara kwa mara. Sioni uchungu wa kutoa fedha, labda ni kwa sababu natumia kadi kulipia, ningekuwa natoa kwenye pochi na kuhesabu kumpa muuzaji, nisingeweza kufanya hivyo, fedha nyingi kama ile ukiishika mkononi na kulipa kununua nguo roho inauma,” alisema Wema.

diamond akana kua najma sio demu wake sasa


Najma na Diamond.Kumekuwepo na tetesi za chini kwa chini kuwa Diamond na aliyewahi kuwa mpenzi wa Mr Blue, Najma ni wapenzi.Tetesi hizo zilipamba moto baada ya kuonekana kwa picha za birthday za Diamond ambapo Najma alikuwa miongoni mwa waalikwa.

Hata hivyo kwa mujibu wa meneja wa Najma ambaye kwa muda mrefu alikuwa nchini Uingereza kimasomo, mastaa hao wako karibu kikazi zaidi tu na hakuna kingine.“Mimi niliamua Najma afanye nyimbo na Diamond nikamuomba Diamod,Diamond akakubali kwahiyo tuna project na Diamond all time tunakuwa na Diamond kwasababu ni project ambayo tunataka kufanya nae, lakini this time as a friend lakini si kama wapenzi,” Meneja wa Najma aitwaye Nasra ameimbiwa Power Jams ya EA Radio.

anord kayanda kwenye harusi yake.......ndani mabaharia wote wa clouds


ARNOLD KAYANDA AKIWA NA MKE WAKE NJE YA KANISA BAADA YA NDOA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KAMA UNAVOWAONA KWENYE PICHA
MA BAHARIA KAMA KIPINDI CHA JAHAZI KILIVO NDO SARE YA HARUSI LEO KWENYE HARUSI YA KIPENZI WENU ANORLD KAYANDA ,ONA WALIVOPENDEZA NAMUONA PALE B12 UKIPENDA MUITE C.E.O ,YUPO MILLARD AYO,ERICK KUSAGGA

lady gaga eti aja chumbiwa bado kazi kwenyu 2 wajanja

Mbali na picha kuonesha hivyo Lady Gaga ukweli waja nje...!!
Chanzo cha karibu na mwanamziki huyo amefunguka kuwa Picha hapo juu iliyopata umaarufu na kuwa gumzo Iliyopostiwa na Terry Richardson ikiwa na caption, "Gaga showing
off her new engagement ring!"
Ila chanzo chetu kimekanusha hilo na kusema ni pete tuu na Gaga is not
engaged to anyone.

It's unclear if Gaga is
even dating anyone right now ... Kwani sio muda tangu wameachana na BF wake Taylor
Haiyaaa tusubirie tuone what's goes on pande za kwa Ob

diamond aamua kutoa radha mpya za taarabu!!!!!!

Msanii Naseeb Abdul ama wengi tunavyomjua kama 'Diamond' BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa Mipasho / Mduara, Taarabu au vyovyote vile utakavyopenda kuuita.
 Diamond amenukuliwa akiyasema hayo Jijini Dar es Salaam wiki hii kuwa,amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa kwake na muziki huo wa taarab. Mshindi huyo wa tuzo mbalimbali za muziki za Kilimanjaro amesema anajua uamuzi wake huo utawashangaza mashabiki wake wengi, lakini ni jambo la kawaida kwa msanii.
  Diamond alisema hadi sasa anaamini hana mpinzani katika muziki wa kizazi kipya na hakuna msanii anayeweza kufikia kiwango chake hapa nchini. Diamond alisema ameamua kupiga miondoko tofauti ya muziki kutokana na kipaji alichonacho katika fani hiyo ambayo imempatia umaarufu mkubwa, Kutokana na kipaji chake hicho, Diamond anasema hakuna kitu anachoshindwa kukifanya katika fani ya muziki. Ameongeza pia yeye bado hajaanza rasmi kupiga muziki wa taarab,na kuwa sasa anafanya tathmini ya soko la muziki huo ili kuona kama unaweza kumletea mafanikio kama ilivyo kwa muziki wa bongo fleva na kwamba anaweza kufanya kila aina ya muziki kwa sababu anakipaji cha kuimba nyimbo aina zote, hivyo endapo atafikia muafaka anaweza kufanya muziki wa taarabu.  Diamond alikiri kuwa, muziki wa kizazi kipya umemfanya ajulikane sehemu nyingi duniani, ikiwa ni pamoja na kupata manufaa mbalimbali kimaisha kwa kuishi kwenye nyumba nzuri na kumiliki magari ya kifahari.

Sema wewe kama wewe unadhani ndo Uamuzi huo wa Diamond utamfanya aendelee kuwa Diamond huyu huyu tunayemjua?? ???

willow smith amuandikia 2pac barua........

Willow Smith ameonesha picha ya barua yake aliyomuandikia legend wa music wa Hip Hop duniani, Tupac Shakur aliyefariki hata kabla ya Willow kuzaliwa
Huku hili likitokea, bado ule uvumi kwamba mama yake na Willow Smith, Jada Pinket Smith alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Late Tupac Shakur na kwamba inawezekana waliamua kutengeneza (danganya) mazingira ya kifo chake na yeye kuhamia Cuba.
Imekuwa ngumu kuuzima uvumi huo kwani posthumous albam saba zake Tupac zimeshaachiliwa baada ya kifo chake na sasa vitu hivyo vinaonekana kumuathiri pia mwanamziki huyu mchanga mwenye miaka 11 kutokana na post yake ya hivi karibuni ikionesha barua hiyo inayosomeka!!


Dear Tupac,
I know you are alive someplace. I think that my mommy misses you. Can you come back so mommy and me can be happy! I wish you were here … I really do!
Love, Willow

Jada Pinkett amewahi kuuongelea uhusiano wake na Shakur adharani kwama 2010 katika Kipindi cha Televisheni cha WJLB Morning Show.

Alisema kuwa yeye na Pac hawakuwahi kuingia katika mapenzi ila wote wawili ila anaamini wote wawili walikuwa na hisia hizo. ni zaidi ya mapenzi ya kawaida yaliyokuwepo kati yangu mimi na yeye yaliyotufanya tuishi pamoja kama dada, wakati mwingine mama, mtoto,  baba, au uhusiano wa kirafiki. Tulikuwa tunatambua kwamba kama tungeamua kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi tusingedumu kwani wote kwa kipindi hicho tulikuwa moto. Tungeunguza kila kitu! Hivyo tukaona ili kuendelea kudumisha uhusiano uliokuwepo hakukuwa na njia nyingine zaidi kwani tungeweza kuuana sisi kwa sisi!

Kutolewa kwa barua hii kumekuja ikiwa ni muda mfupi tuu tangu kuwepo uvumi pia kwamba Jada Pinkett-Smith amepewa talaka na Will Smith hivyo hawapo tena pamoja na habari hizo zilitolewa na Essence magazine.

''voting machine'' yajaaa kukomesha .........


Wazungu watafuta njia mbadala ya kuvote ili kuepuka uchakachuzi na hapo juu ni moja kati ya njia ambayo wanajaribu kufikiria itazibiti wizi na uchakachuzi ingekua vyema iletwe tz!!!!!!!

CREATIVITY YA FREEMASON NN??????????


Beginning in late June of 2009, the climate theme centre Klimahaus Bremerhaven 8 Ost will open its doors to visitors for a trip, through 5,000 m² of exhibition area, around the world along the eighth degree of longitude east. To cool the various geographical zones being simulated in the giant building, the centre operators have installed fan coil units from the GEA Power-Geko and GEA Flex-Geko families of products.
Read More:-:

FORD INTRODUCE FORD 650 SUPER TRUCK!!!!!!!!!


                                       Ford F-650 Super Truck
Ford F650 is a truck launched by Ford in the year 2000 to replace F600, F700 and F800 trucks. Ford F650 is a joint venture of Blue Diamond Truck Company and Ford. Ford F650 is a 4 door truck that’s efficient by all standards. It’s fully air conditioned and uses a 10 gallon DEF fuel tank.

DIAMOND.....HII NINI TENA UMEMWACHA WEMA,JOKETE SASA..........

 
Diamond Halima 2

NAHREEL AAMUAKUTOA SOMO LA KIPRODYUZA..........



Beatmaker mahiri nchini aliyewahi kutengeneza midundo kadhaa ukiwemo Stimu Zimelipiwa (Copy my Motion) wa Joh Makini, Nahreel ameamua kukitumia kipaji chake na elimu masuala ya production kwa kuanzisha darasa la utengenezaji wa beat.
Amesema darasa hilo litajumuisha mafunzo ya kutengeneza beat, kumaster pamoja na kumix.

hivi wajua kuwa kanye na kim ni wapenzi? sasa UNAPASWA KUJUA NA HILI JAMBO PIA.


Kim Kardashian anadaiwa kuwa kwenye mipango ya kufanya harusi ya kifahari na Kanye West itakayogharimu dola milioni 20.
Nyota huyo wa reality TV show, ambaye amekuwa na uhusiano na Kanye kwa miezi nane sasa na hivi karibuni kurejea toka kwenye mapumziko ya Rome hadi Venice kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, anadaiwa kutaka kuvaa shela yenye gharama ya dola milioni 8 muda mfupi akipata taraka yake kutoka kwa mume wake wa zamani Kris Humphrie.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la OK! Kuwa Kim ameshaanza kuwasiliana na waandaji wa shughuli za harusi.